Entebbe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: yi:ענטעבע
No edit summary
Mstari 125:
 
{{dablink|This article refers to the city of Entebbe. For the airport, please see [[Entebbe International Airport]]. For the incident in 1976, see [[Operation Entebbe]].}}
'''Entebbe''' ni mji nchini [[Uganda.]]. Wakati mmoja,mji huu ulikuwangome ya serikali kwa eneo la Uganda, kabla ya Uhuru mwaka wa [[1962]]. Entebbe ndiko eneo la [[Entebbe International Airport,]], uwanja wa ndege mkubwa wa Uganda wa kibiashara na kijeshi.Uwanja huu unajulikana kwa shughuli ya kishindo ya kuwaokoa mateka 100 waliotekwa nyara na kundi za [[kigaidi ]]za [[PFLP]] na [[Revolutionary Cells ]] (RZ)]] .
 
 
 
==Mahali==
Entebbe iko 00.04N, 320.280E. Ipo katika wilaya ya [[Wakiso ,]], {{convert|37|km|mi}} kusini magharibi ya [[Kampala,]], mji mkubwa na mji mkuu wa Uganda . Entebbe ipo kaskazini mwa fuo za Ziwa [[Victoria]] , [[,ziwa lenye ukubwa zaidi Afrika]] [[.]]
 
 
Mstari 138:
 
==Idadi ya Watu==
Katika sensa ya kitaifa ya mwaka 2002 , idadi ya wakaazi wa Entebbe ilikadiriwa kuwa watu 55,086. Mwaka 2008, Uganda Bureau of Statistics ilikadiriwa idadi ya wakaazi wa mji huu kuwa 70,200. <ref>[7] ^ 2002 and 2008 Estimated Populations of Uganda Cities and Towns</ref>
 
 
 
==Historia==
"Entebbe", katika lugha ya [[Kiganda]] inamaanisha "kiti " na pengine hi kwa sababu palikuwa mahali ambapo alikaa chifu wa [[Baganda]]kuhakimu kesi za kisheria. Ilikuja kuwa eneo la utawala wa kikoloni na kituo cha kibiashara ya Uingereza kwanza mnamo mwaka wa 1893 wakati [[Sir [[Gerald Portal,]], komishona wa kikoloni, aliitumia kama kambi. [[Port Bell]] kisha ikawa bandari ya Kampala. Ingawa hakuna meli inayotua nanga huko sasa, bado kuna [[ jetty]] ambayo ilikuwa ikitumiwa na feri za[[ Ziwa Victoria.]] Labda Entebbe inafahamika Ulaya kama eneo kuliko na [[Entebbe International Airport,]] uwanja wa ndege mkuu wa kimataifa wa Uganda, ambao ulianzishwa mwaka 1947. Uwanja wa ndege wa Entebbe ulikuwa mahali ambapo oparesheni moja ya kusisimua wakati kitengo cha wanajeshi wa jeshi la Israel waliwaokoa mateka zaidi ya 100 kufuatia utekaji nyara na kundi la Wapalestina na magaidi wa Kijerumani. Ilikuwa pia kutoka uwanja wa ndege huu [[Malkia Elizabeth II]] aliondoka kutoka Afrika kurejea [[Uingereza]] mwaka Malkia.
 
 
"Entebbe", katika lugha ya [[Kiganda]] inamaanisha "kiti " na pengine hi kwa sababu palikuwa mahali ambapo alikaa chifu wa [[Baganda]]kuhakimu kesi za kisheria. Ilikuja kuwa eneo la utawala wa kikoloni na kituo cha kibiashara ya Uingereza kwanza mnamo mwaka wa 1893 wakati [[Sir Gerald Portal,]] komishona wa kikoloni, aliitumia kama kambi. [[Port Bell]] kisha ikawa bandari ya Kampala. Ingawa hakuna meli inayotua nanga huko sasa, bado kuna [[ jetty]] ambayo ilikuwa ikitumiwa na feri za[[ Ziwa Victoria.]] Labda Entebbe inafahamika Ulaya kama eneo kuliko na [[Entebbe International Airport,]] uwanja wa ndege mkuu wa kimataifa wa Uganda, ambao ulianzishwa mwaka 1947. Uwanja wa ndege wa Entebbe ulikuwa mahali ambapo oparesheni moja ya kusisimua wakati kitengo cha wanajeshi wa jeshi la Israel waliwaokoa mateka zaidi ya 100 kufuatia utekaji nyara na kundi la Wapalestina na magaidi wa Kijerumani. Ilikuwa pia kutoka uwanja wa ndege huu [[Malkia Elizabeth II]] aliondoka kutoka Afrika kurejea [[Uingereza]] mwaka Malkia.
 
 
Line 153 ⟶ 151:
*Bustani kuu za kitaifa zilowekwa mwaka wa 1898, ziko katika Entebbe.
* Entebbe nyumbani mwa Uganda Virus Research Institute (UVRI).
* Entebbe kuna Uganda Wildlife Education Center (UWEC), pia inatumika kama [[mbuga ]] ya kitaifa. Mlango wa kituo iko karibu na jetty. Watalii wa kigeni wamebaini nyani wa mwituni wakiwa wameketi juu ya miti kwenye njia ya kituo hiki.
* Entebbe ni eneo la [[Chuo Kikuu cha Nkumba,]], mojawapo ya taasisi thelathini na moja (31) za [[elimu]]elimu ya juu zilizo pewa leseni nchini Uganda.
* Entebbe pia ni eneo la [[State House,]], makazi rasmi ya [[Rais wa Uganda]] <ref> [http://www.statehouse.go.ug/images/frontPhotos/EbbStateHse.jpg State House, Entebbe]</ref>
 
 
Line 162 ⟶ 160:
File:Entebbe Aerial.jpg|Jua likitua Entebbe
File:C17atEntebbe.jpg|Entebbe International Airport
File:Uganda church.jpg|Kanisa la Bugonga , Entebbe
File:EntebbeDot.png|Entebbe ipo kwenye fuo za Ziwa Victoria
</gallery>