Hifadhi ya Ziwa Manyara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Hifadhi ya Ziwa Manyara''' ni maarufu sana nchini Tanzania kwa simba wanaopanda miti. aina hii ya simba hupatikanandani ya hifadhi hii pekee barani [[AfricaAfrika]]. Umaarufu wa hifadhi Ziwa manyara unaongezeka kila siku kutokana na kukua kwa utaliiwa ndani ambapo wananchi wengi kutoka katika mikoa ya kaskazini mwa Tanzania hupenda kutembelea hifadhi hii.
 
[[picha:Impalas Manyara.jpg|left|thumb|250px|Ziwa Manyara]]