Bendera ya Poland : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Flag of Poland.svg|right|250px|thumb|Bendera ya [[Poland]]]]
[[Picha:State Flag of Poland.svg|right|250px|thumb|Bendera ya Poland pamoja na nembo la kitaifa]]
'''[[Bendera]] ya [[Poland]]''' ni ya milia miwili ya kulala yenye rangi za nyeupe na nyekundu. Mlia mweupe uko upande wa juu, mlia mwekundu uko chini.
 
Bendera ilianzishwa kwa azimio la Bunge la Poland mwaka 1831. Rangi hizi mbili zilipatikana katika nembo ya nchi tangu karne tisa ikionyesha tai nyeupe juu ya rangi nyekundu.