Chuo Kikuu cha Witwatersrand : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 14:
|students = 24 381
|city = [[Johannesburg]]
|state = [[Gauteng]]
|country = South Africa
|websitetovuti = http://www.wits.ac.za/
}}
'''Chuo Kikuu cha Witwatersrand, Johannesburg''' ni mojawapo ya [[vyuo vikuu]] bora vya Afrika Kusini lililoko katika maeneo ya kaskazini ya katikati mwa [[Johannesburg]]. Kinajulikana vizuri zaidi kama '''Wits University''' . Chuo hiki kina mizizi yake katika sekta ya madini, kama ilivyo Johannesburg na Witwatersrand kwa ujumla.