Shirika la Biashara Duniani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:WTO members.svg|thumb|300px|Nchi wanachama wa WTO; <br>Kijani cheusi: nchi zilizoanzisha WTO mwaka 9951995; <br>Kijani cheupe: nchi zilizojiunga baadaye]]
 
'''Shirika la Biashara Duniani''' (kifupi: '''WTO'''; Kiing. World Trade Organization, WTO; Kifar. Organisation Mondiale du Commerce, OMC; Kihisp. Organización Mundial de Comercio, OMC) ni shirika la kimataifa linaloshughulika utaratibu wa biashara duniani. Shabaha ya kazi yake ni kuondoa kwa vizuizi ya biashara kati ya mataifa. Makao makuu yake yapo [[Geneva]] (Uswisi).