Bendera ya Burkina Faso : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Flag_of_Burkina_Faso.svg|thumbnail|252px|Bendera ya Burkina Faso]]
 
'''[[Bendera]] ya [[Burkina Faso]]''' ina milia miwili ya kulala ya nyekundu na ya kijani. Katikati iko nyota ya pembetano ya rangi njano.
 
Hizi rangi za nyekundu-kijani-njano ni [[rangi za Umoja wa Afrika]].