Bendera ya Togo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Flag of Togo.svg|thumb|250px|Bendera ya Togo]]
'''[[Bendera]] ya [[Togo]]''' ina milia mitano ya kulala ya kijani (juu na chini) inayobadilishana na njano. Mraba mwekundu uonyeshayo nyota nyeupe ya pembe tano uko kwenye kona ya juu upande wa kushoto.
 
Bendera hii ni kati bendera zinazotumia [[rangi za Umoja wa Afrika]]. Rangi za kijani, njano na nyekundu huitwa rangi za umoja wa Afrika kwa sababu zinapatikana kwenye [[bendera ya Ethiopia]], nchi ya pekee iliyofaulu kujitetea dhidi ya dhidi ya uvamizi wa kikoloni katika karne ya 19 [[BK]].