Busia, Uganda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 73:
 
==Shughuli za Kiuchumi==
Mji huu, pamoja na mji dada yake wa [[Busia]], Kenya]] kando ya mpaka, ni vituo vya shughuli za kibiashara kubwa na trafiki ni nzito katika pande zote mbili. Bidhaa kutoka Uganda ni pamoja na mazao ya biashara kama [[kahawa, pamba]] na [[mbao]] zinazopelekwa katika bandari ya [[Mombasa]] nchini Kenya kwa ajili ya kuuza nje. Vyakula kama [[ndizi, mananasi]] na [[maembe]] zinazopelekwa kwa soko ya [[Kenya]] pia hupita mpakani. Kwa upande mwingine, [[Uganda]] huagiza [[mafuta ya petroli]], bidhaa za viwandani na nyumbani kama [[mafuta ya kupikia, sabuni, nguo,vifaa vya elektronik]] na [[magari]].
 
 
Mstari 118:
|-
|}
 
 
==Alama za Umuhimu==