Tofauti kati ya marekesbisho "Antonio Valencia"

2 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
d (roboti Nyongeza: vi:Antonio Valencia)
 
==Wasifu wa Kimataifa==
Valencia aliichezea timu ya taifa kwa mara ya kwanza katika mechi ya kufuzu kushiriki katika kombe[[Kombe la duniaDunia la FIFA]] dhidi ya [[Paragwei]] tarehe 27 Machi 2005, na alifunga mabao mawili katika ushindi wa 5-2. Aliichezea Ecuador katika kombe la dunia la 2006, na alichaguliwa kama mteule wa timu ya FIFA ya wachezaji 11 bora, ambayo inatambua wachezaji nyota katika kila nafasi katika Kombe la Dunia. Pia aliorodheshwa kama mmoja wa wagombea sita kwa tuzo la mchezaji bora mchanga wa Gillette. Barua pepe lilisambazwa nchini Uingereza na liliwapa moyo watu kumpigia kura Valencia, katika jaribio la kuzuia [[Cristiano Ronaldo]] kushinda. Valencia alipokea idadi kubwa ya kura katika uchaguzi wa mtandao wa tarakilishi, [34] lakini tangu Mshindi wa tuzo anadhamiriwa na kura za wafuasi na jopo la majaji, hatimaye tuzo alipewa [[Lukas Podolski]].
 
 
 
==Takwimu ya Wasifu==
Anonymous user