Hali maada : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: mhr:Эмен улмылык; cosmetic changes
Mstari 4:
 
'''Hali ya maada''' ni muundo jinsi [[maada]] hutokea katika hali mbalimbali, ama kama [[elementi]] (dutu tupu) au kama [[kampaundi]] (dutu za mchanganyiko). Duniani kwa kawaida kuna hali tatu ya maada:
* [[mango]] (imara)
* [[kiowevu]] (majimaji)
* [[gesi]] (kama hewa)
 
* Hali ya nne ni [[Utegili (fizikia)|utegili]] (plasma) lakini duniani inatokea tu katika maabara penye joto, baridi au shindikizo kubwa sana. Lakini katika ulimwengu kwa jumla maada nyingi iko katika hali ya utegili kwa sababu atomu za jua na maada ya nyota ziko katika hali ya utegili kutokana na joto kali na shindikizo kubwa.
 
Hali za maada hutofautiana jinsi vipande vidogo ndani ya dutu yaani [[atomu]] au [[molekuli]] zake zahusiana.
Mstari 59:
[[lt:Agregatinė būsena]]
[[lv:Agregātstāvoklis]]
[[mhr:Эмен улмылык]]
[[mk:Агрегатна состојба]]
[[mn:Бодисын төлөв]]