Tofauti kati ya marekesbisho "Tobias Asser"

49 bytes added ,  miaka 12 iliyopita
d
[[ImagePicha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[ImagePicha:TMCasser.jpg|thumb|right|Tobias Asser]]
 
'''Tobias Michael Carel Asser''' ([[28 Aprili]], [[1838]] – [[29 Julai]], [[1913]]) alikuwa mwanasheria kutoka nchi ya [[Uholanzi]]. Alikuwa profesa wa sheria kwenye Chuo Kikuu cha [[Amsterdam]]. Mwaka wa 1899 na tena 1907 alikuwa mwakilishi wa Uholanzi kwenye mikutano ya amani iliyofanyika katika mji wa [[The Hague]]. Mwaka wa [[1911]], pamoja na [[Alfred Fried]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] kwa Amani'''.
 
{{DEFAULTSORT:Asser, Tobias}}
[[Category:Waliozaliwa 1838]]
[[Category:Waliofariki 1913]]
[[Category:Wanasheria wa Uholanzi]]
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Amani]]
 
{{mbegu-Nobel}}
{{commons|Tobias Asser}}
 
[[CategoryJamii:Waliozaliwa 1838]]
[[CategoryJamii:Waliofariki 1913]]
[[CategoryJamii:Wanasheria wa Uholanzi]]
[[CategoryJamii:Tuzo ya Nobel ya Amani]]
 
[[ar:توبياس ميخائيل كايل آسر]]
[[nl:Tobias Asser]]
[[no:Tobias Michael Carel Asser]]
[[pa:ਟੋਬੀਆਸ ਮਿਕੇਲ ਆਰੇਲ ਆਸਰ]]
[[pl:Tobias Asser]]
[[pnb:ٹوبیاس مائیکل کارل اسر]]
44,168

edits