Nchi inayoendelea : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
Mstari 241:
 
 
#[[Nchi zilizostawi kiviwanda hivi karibuni]] (NICs) ni mataifa ambayo uchumi wake una maendeleo ya juu zaidi kuliko yale yaliyo katika nchi zinazostawi, lakini bado bila ishara kamili za maendeleo ya nchi.<ref name="Globalization"></ref>. <ref name="Limits"></ref> <ref name="AIA"></ref> <ref name="Principles"></ref> NIC ni kikundi katikati ya nchi zinazostawi na zilizostawi. Kinajumuisha [[Brazil]], [[Jamhuri ya Watu wa China]], [[India]], [[Malaysia]], [[Mexico]], [[Ufilipino]], [[Afrika Kusini]], [[Thailand]] na [[Uturuki]].
#[[Masoko Makubwa yanayojitokeza]] (BEM)]], lebo yenye maana kadhaa. [[Jeffrey Garten]] alitambua, [[Brazili]], [[Argentina]], [[Mexico]], [[Afrika Kusini]], [[Poland]], [[Uturuki]], [[India]], [[Indonesia]], [[Jamhuri ya Watu wa China]], na [[Korea Kusini]] kama mataifa ya BEM kumi bora.
#Nchi zenye muda mrefu wa vita vya wenyewe kwa wenyewe au kuvunjika pakubwa kwa utawala wa sheria ( "[["nchi zilizofeli"]]") (km [[Afghanistan]], [[Haiti]], [[Pakistan]], [[Somalia]], [[Myanmar]], [[Iraq]], [[Zimbabwe)]]) au zilizo na udikteta usiojali maedeleo([[Korea Kaskazini]]) .
#Baadhi ya nchi zinazostawi zimeainishwa kama "nchi zilizostawi" kama vile [[Afrika Kusini]] na [[Uturuki]] na [[CIA]]; na [[Antigua na Barbuda]], [[Bahamas]], [[Bahrain]], [[Barbados]], [[Brunei]], [[Estonia]], [[Guinea ya Ikweta]], [[Kuwait]], [[Oman]], [[Qatar]], [[Saudi Arabia]], na [[Trinidad na Tobago]] kuainishwa hivyo na Benki ya Dunia.
 
 
 
==Marejeo==