Asia ya Kusini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: sd:ڏکڻ ايشيا
d roboti Nyongeza: pnb:دکھنی ایشیاء; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:South asia.jpg|thumb|250px|right|Asia ya Kusini]]
 
'''Asia ya Kusini''' ni sehemu ya Asia yenye nchi zifuatazo:
 
* [[Uhindi]]
* [[Pakistan]]
* [[Nepal]]
* [[Bhutan]]
* [[Bangladesh]]
 
halafu nchi za visiwani
* [[Sri Lanka]]
* [[Maldivi]]
 
[[Umoja wa Mataifa]] umehesabu pia [[Afghanistan]] na [[Uajemi]] katika kanda hili.
 
== Jiografia ==
Asia ya Kusini jinsi ilivyoelezwa hapo juu (bila Uajemi na Afghanistan) ni karibu sawa na [[Bara Hindi]]. Tofauti ni ya kwamba Asia ya Kusini hujumuisha nchi zinazotajwa ilhali Bara Hindi ni eneo linalokaa ju ya [[bamba la Uhindi]]. Kuna sehemu hasa za Pakistan yasiyo juu ya bambala Uhindi bali kwenye mitelemko ya nyanda za juu za Uajemi.
 
Mstari 22:
Eneo lake ni takriban [[kilomita za mraba]] milioni 4,5 au 10 % za bara lote la Asia. Takriban 20 % za wakazi wa dunia huishi hapo.
 
== Tazama pia ==
* [[Asia ya Kati]]
* [[Asia ya Mashariki]]
* [[Asia ya Kusini-Mashariki]]
* [[Asia ya Magharibi]]
 
[[CategoryJamii:Asia|*]]
 
[[ace:Asia Seulatan]]
Mstari 72:
[[nv:Naakaii Dootłizhí Dabikéyah]]
[[pl:Azja Południowa]]
[[pnb:دکھنی ایشیاء]]
[[pt:Ásia Meridional]]
[[rmy:Sudutni Asiya]]