Ulaya ya Kati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Ulaya ya Kati''' ni kanda la bara la [[Ulaya]] lililopo kati ya [[Ulaya ya Mashariki]] na [[Ulaya ya Magharibi]].
 
Katika mpangilio wa [[Umoja wa Mataifa]] unaofuata kawaida ya miaka ya [[Vita baridi]] hakuna Ulaya ya Kati kwa sababu wakati ule kitovu cha Ulaya kilgawiwakiligawiwa kisiasa kati ya mashariki ([[Umoja wa Kisovyeti]]) na magharibi ([[NATO]]). Hata hivyo kiutamaduni watu wa sehemu zile hawajisikii kama watu wa Ulaya ya Magharibi wala Mashariki.
 
Kwa kawaida nchi zifuatazo huhesabiwa kama sehemu za Ulaya ya Kati: