Ulaya ya Kati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
sahihisho
Mstari 1:
[[File:Central Europe (a).png|thumb|right|250px|Ulaya ya Kati]]
'''Ulaya ya Kati''' ni kanda laya bara la [[Ulaya]] lililopoiliyopo katibaina ya [[Ulaya ya Mashariki]] na [[Ulaya ya Magharibi]].
 
Katika mpangilio wa [[Umoja wa Mataifa]] unaofuata kawaida ya miaka ya [[Vita baridi]] hakuna Ulaya ya Kati kwa sababu wakati ule kitovu cha Ulaya kiligawiwa kisiasa kati ya mashariki ([[Umoja wa Kisovyeti]]) na magharibi ([[NATO]]). Hata hivyo kiutamaduni watu wa sehemu zile hawajisikii kama watu wa Ulaya ya Magharibi wala Mashariki.