Entebbe : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 1:
{{Infobox Settlement
|jina_rasmi = Jiji la Entebbe
|picha_ya_satelite = Uganda church.jpg
|
|
|pushpin_map_caption = Mahali pa mji wa Entebbe katika Uganda
|
|subdivision_type = [[Madola|Nchi]]
|subdivision_name = [[Image:Flag of Uganda.svg|25px]] [[Uganda]]
|subdivision_type1 = Mkoa
|
|
|
|
|latd=0|latm=02|lats=40 |latNS=N
|longd=32|longm=27|longs=57|longEW=E
|website =
}}
{{dablink|This article refers to the city of Entebbe. For the airport, please see [[Entebbe International Airport]]. For the incident in 1976, see [[Operation Entebbe]].}}
'''Entebbe''' ni mji nchini [[Uganda]]. Wakati mmoja,mji huu ulikuwangome ya serikali kwa eneo la Uganda, kabla ya Uhuru mwaka wa [[1962]]. Entebbe ndiko eneo la [[Entebbe International Airport]], uwanja wa ndege mkubwa wa Uganda wa kibiashara na kijeshi.Uwanja huu unajulikana kwa shughuli ya kishindo ya kuwaokoa mateka 100 waliotekwa nyara na kundi za [[kigaidi ]]za [[PFLP]] na [[Revolutionary Cells]] (RZ).
==Mahali==
Entebbe iko 00.04N, 320.280E. Ipo katika wilaya ya [[Wakiso]], {{convert|37|km|mi}} kusini magharibi ya [[Kampala]], mji mkubwa na mji mkuu wa Uganda. Entebbe ipo kaskazini mwa fuo za Ziwa [[Victoria]], [[ziwa lenye ukubwa zaidi Afrika]].
Manispaa iko katika kisiwa kidogo kwenye Ziwa Victoria na eneo jumla la {{convert|56.2|km2|mi2}} kati yake ambayo {{convert|20|km2|mi2}} ni maji. <ref>[5] ^ Location of Entebbe</ref> <ref>[6] ^Distance from Kampala to Entebbe with Map </ref>
==Idadi ya Watu==
Katika sensa ya kitaifa ya mwaka 2002, idadi ya wakaazi wa Entebbe ilikadiriwa kuwa watu 55,086. Mwaka 2008, Uganda Bureau of Statistics ilikadiriwa idadi ya wakaazi wa mji huu kuwa 70,200. <ref>[7] ^ 2002 and 2008 Estimated Populations of Uganda Cities and Towns</ref>
==Historia==
Line 152 ⟶ 39:
* Entebbe ni eneo la [[Chuo Kikuu cha Nkumba]], mojawapo ya taasisi thelathini na moja (31) za [[elimu]] ya juu zilizo pewa leseni nchini Uganda.
* Entebbe pia ni eneo la [[State House]], makazi rasmi ya [[Rais wa Uganda]] <ref> [http://www.statehouse.go.ug/images/frontPhotos/EbbStateHse.jpg State House, Entebbe]</ref>
Line 158 ⟶ 44:
File:Entebbe Aerial.jpg|Jua likitua Entebbe
File:C17atEntebbe.jpg|Entebbe International Airport
File:EntebbeDot.png|Entebbe ipo kwenye fuo za Ziwa Victoria
</gallery>
|