Kolo Toure : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: fr:Kolo Touré; cosmetic changes
CGN2010 (majadiliano | michango)
Mstari 70:
==== Msimu wa 2007/08 ====
[[Picha:Kolo Toure captain.JPG|thumb|upright|Toure akiwa nahodha wa Arsenal wakati wa mechi katika msimu wa 2007-08]]
Touré alikuwa makamu mdogo wa nahodha katika msimu wa 2006-07 baada ya makamu wa nahodha wa zamani Gilberto Silva na nahodha wa zamani [[Thierry Henry]]. Alikuwa nahodha wa Arsenal kwa mara ya kwanza tarehe 9 Januari 2007 katika ushindi wa 6-3 dhidi ya Liverpool katika kombe la Carling. Aliongoza Gunners katika fainali ya shindano hili la kombe la Carling na pia alikuwa nahodha wa Arsenal katika nusu fainali ya kwanza dhidi ya Tottenham Hotspur. Akawa mwanachama wa sasa aliyeitumikia kikosi cha Arsenal kwa muda mrefu kufuatia kuondoka kwa Jeremie Aliadiere, Thierry Henry na [[Freddie Ljungberg]] katika dirisha dogo la uhamisho la wakati wa majira wa mwaka wa 2007. Pia alikuwa nahodha wa Arsenal katika msururu wa michezo mapema katika msimu wa 2007-08 baada ya nahodha [[William Gallas]] kujeruhiwa katika mechi dhidi ya Blackburn Rovers. Alikuwa na kampeni nyingine muruwa wa 2007-08, kwani alifomu ushirikiano fanisi na mchezaji mwenzake wa safu ya ulinzi, William Gallas. Alifunga "free kick" katika mechi dhidi ya Bolton Wanderers, ambapo shoti yake ya risasi ilipita chini ya wachezaji wa Bolton na kumpita mlinda langa wa Bolton, Jussi Jääskeläinen. Hata hivyo, wakati wa [[Kombe la Mataifa ya Afrika]], yeye alipata jeraha na hakucheza vizuri alilporudi rudi. Kisha akajijeruhi tena katika kombe la mabingwa barani Ulaya dhidi ya [[AC Milan]] wakati alilikinga shoti la [[Alexandre Pato]] kutumia mguu wake, na alitolewa uwanjani ndiposa apate matibabu zaidi. Toure alirejea katika timu ya kwanza dhidi ya Middlesbrough tarehe 15 Machi na alifungia Arsenal bao la kusawazisha katika dakika 10 za mwisho. Katika robo fainali ya kombe la mabingwa barani Ulaya, alicheza upande wa kulia wa safu ya ulinzi ambao haifahamu vyema, mechi ambayo Arsenal walikuwa wanatoka sare ya 2-2 na Liverpool. Lakini, katika dakika ya 86, Toure ilihukumiwa kwa kumsukuma Ryan Babel katika boksi ya penalti. [[Arsène Wenger]], hata hivyo, alimtetea Touré, kwa kusema kuwa refari alifanya uamuzi mbaya. [[Steven Gerrard]] aliichapa penalti hiyo na kutikisa wavu. Mechi hiyo ilikamilika 4-2, ushindi ukiwa wa Liverpool kutokana na bao la Babel wakati wa muda wa ziada.
 
 
 
==== Msimu wa 2008/09 ====