Usawa wa kijinsia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: fa:برابری جنسیتی
CGN2010 (majadiliano | michango)
No edit summary
Mstari 1:
{{mergefrom|Usawa wa Kijinsia|July 2010}}
 
[[File:Igualtat de sexes.svg|thumb|Kwa ujumla ishara kwa usawa wa kijinsia]]
 
'''Usawa wa kijinsia''' ni lengo la kuleta usawa katika ya jinsia zote, kutokana na imani(belief) kuwa kuna udhalimu mbalimbali wa jinsia moja.
 
 
Mashirika ya Dunia yamefafanua usawa wa kijinsia ikihusiana na [[haki za binadamu]], hasa [[haki za wanawake]] na maendeleo ya kiuchumi. [[UNICEF]] inafafanua usawa wa kijinsia kama "kusawazisha uwanja wa kucheza kwa wasichana na wanawake kwa kuhakikisha kwamba watoto wote wana fursa sawa ya kuendeleza vipaji vyao.
 
 
Idadi ya Watu ya Umoja wa Mataifa(United Nations Population Fund) ilitangaza usawa wa kijinsia "kwanza kabisa kama haki ya binadamu." Usawa wa kijinsia" ni mojawapo wa malengo ya mradi wa Milenia wa Umoja wa Mataifa , wa kumaliza umaskini ulimwenguni ifikapo mwaka wa 2015; mradi huu unadai, "Kila Lengo lina uhusiano wa moja kwa moja na haki za wanawake na jamii ambazo wanawake hawana haki sawa kama wanaume kamwe haziwezi kufanikisha maendeleo katika namna endelevu.
 
 
Hivyo basi, kukuza usawa wa kijinsia kunaonekana kama himizo kwa mafanikio makubwa ya kiuchumi. Kwa mfano, mataifa ya Kiarabu ambayo yanawanyima wanawake usawa wa kijinsia yalionywa katika ripoti iliyofadhiliwa na [[Umoja wa Mataifa]] mwaka wa 2008 kwamba kitendo hiki cha kuwanyima mamlaka wanawake ni kipengele muhimu kinachodhalilisha kurudi kwa mataifa haya katika nafasi ya kwanza ya viongozi wa dunia katika biashara, elimu na utamaduni.
 
 
 
== Angalia Pia ==
{{portal|Gender studies}}