Wikimedia Commons : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: ur:ویکیمیڈیا العام; cosmetic changes
CGN2010 (majadiliano | michango)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Commons-logo-en.svg|right|100px|Wikimedia Commons]]
'''Wikimedia Commons''' (pia huitwa "Wikicommons") ni hazina ya kuhifadhia na kutumia faili za picha, za sauti na nyinginezo. Utumiaji wa faili hizo ni huru kwa [[wikipedia]] za lugha zote; tena siyo lazima kuzipakia kwenye wikipedia mojamoja kwa vile zinapatikana kutoka wikipedia zote. Wikimedia Commons ni mradi wa [[Wikimedia Foundation]].