Idi Amin : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: sh:Idi Amin
CGN2010 (majadiliano | michango)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Luwum and Amin.jpg|thumb|250px|Idi Amin pamoja na Askofu Luwum aliyeuawa baadaye kwa amri yake]]
[[Picha:Amin is carried.jpg|thumb|250px|Idi Amin akibebwa kifalme na wafanyabishara Waingereza huko Kampala]]
'''Idi Amin Dada''' alikuwa [[Orodha ya Marais wa Uganda|rais]] wa [[Uganda]] kati ya 1971 hadi 1979 aliyetawala kama [[dikteta]].
 
Alikuwa mwanajeshi akapanda ngazi kuwa jenerali na mkuu wa jeshi la Uganda. 1971 alimpindua rais [[Milton Obote]] akajitangaza kuwa rais mpya.
Mstari 16:
{{mbegu-mwanasiasa}}
 
{{DEFAULTSORT:Amin}}
[[Jamii:Watu wa Uganda]]
[[Jamii:Marais wa Uganda]]
 
[[af:Idi Amin]]