Amri Kumi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: eu:Hamar Aginduak
d roboti Badiliko: es:Diez Mandamientos; cosmetic changes
Mstari 1:
[[FilePicha:10 Gebote (Lucas Cranach d A).jpg|thumb|350px|Amri 10 - taswira ya [[Lucas Cranach Mzee]]]]
'''Amri Kumi''' ni orodha za amri kuu za kidini katika [[Biblia]].
 
Mstari 6:
Amri hizi ni sehemu ya [[Torati]] ya [[Uyahudi|Kiyahudi]] na kukubaliwa pia na [[Ukristo|Wakristo]] walio wengi kama amri zinazowahusu pia wao, tena kimsingi zinadai watu wote. Hata hivyo wafuasi wa [[Yesu Kristo]] wanazishika kadiri ya utimilifu wake ulioletwa kama [[Agano Jipya]]. Mifano ni mafundisho ya [[Yesu]] katika [[Injili ya Mathayo]] 5:17-48.
 
== Maneno ya Amri Kumi ==
Maneno yanayojulikana kama “Amri Kumi” yanapatikana katika vitabu vya Biblia Kutoka na Kumbukumbu la Torati.
{| class="wikitable"
Mstari 41:
21. Wala usimtamani mke wa jirani yako; wala usiitamani nyumba ya jirani yako, wala shamba lake, wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala kitu cho chote alicho nacho jirani yako.
|}
[[FilePicha:Decalogue parchment by Jekuthiel Sofer 1768.jpg|thumb|200px|Amri Kumi kwa maandishi ya [[Kiebrania]] kutoka [[sinagogi]] la [[Amsterdam]]]]
== Mpangilio wa Amri Kumi ==
Maneno katika Kutoka 20 huwa na amri mbalimbali. Namba kumi ni hesabu iliyotiliwa baadaye kwa orodha hii haikuwa nia ya kiasili kuwa na amri “10” kamili. Ila tu tayari wakati wa Biblia ilikuwa kawaida kuziita "amri 10" lakini bila kuonyesha namba au mpangilio katika maneno ya Biblia yenyewe.
 
Hali hii ilisababisha tofauti ndogo katika hesabu ya amri hizi kati ya mapokeo ya madhehebu mbalimbali. Tofauti kuu ni kati ya Wayahudi wakifuatwa na Wakristo mbalimbali kwa upande moja na Wakatoliki pamoja na Walutheri na Wamoravian kwa upande mwingine kuhusu kutokuwa na sanamu za kuchonga. Tangu [[Agostino wa Hippo]] Wakatoliki walijumlisha sehemu kuhusu kutoabudu sanamu za kuchongwa pamoja na amri ya kutokuwa na miungu mingine. Kwa kufikia namba kumi Agostino aligawa sehemu ya mwisho kuwa amri mbili. Martin Luther alimfuata Agostino lakini Wareformed waliona mpangilio tofauti wakaihesabu kama amri ya pekee.
Mstari 124:
</center>
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/Exod/20/ Maneno ya Amri Kumi katika Kutoka 20]
* [http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/Deut/5/ Maneno ya Amri Kumi katika Kumbukumbu la Torati 5]
* [http://www.vatican.va/archive/ccc_css/archive/catechism/command.htm Ulinganishaji wa matoleo ya Amri Kumi katika [[Katekisimu ya Kanisa Katoliki]], tafsiri ya [[Kiingereza]], katika [[tovuti]] ya [[Vatikani]]. Katika kurasa zinazofuata kuna ufafanuzi mrefu wa amri hizo kwa jumla na mojamoja]
 
{{mbegu-AganoK}}
 
[[Jamii:Maadili]]
[[CategoryJamii:Biblia]]
[[CategoryJamii:Uyahudi]]
[[CategoryJamii:Ukristo]]
 
[[af:Tien Gebooie]]
Mstari 153:
[[en:Ten Commandments]]
[[eo:La Dekalogo]]
[[es:Diez mandamientosMandamientos]]
[[et:Kümme käsku]]
[[eu:Hamar Aginduak]]