Tofauti kati ya marekesbisho "Kombe la Mataifa ya Afrika"

No change in size ,  miaka 10 iliyopita
 
=== 1970: muongo wa mabingwa ===
Kati ya mwaka 1970-1980 mataifa sita mbalimbali yaliweza kushinda : [[Sudan]], [[CongoKongo-Brazzaville]], [[Zaire]], [[Moroko]], [[Ghana]], na [[Nigeria]]. Zaire ilishinda mara ya pili katika mwaka wa [[1974]] (ilishinda mara ya kwanza kama Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo) baada ya kupambana na Zambia katika fainali. Kwa muda hadi sasa katika historia ya ushindani, hii ndio mechi ya kipekee ambayo imerudiwa baada ya timu hizo mbili kutoka sare 2-2 baada ya muda wa ziada. Finali hii ilichezwa siku mbili baadaye na Zaire kuibuka washindi kwa 2-0. Mchezaji wa mbele wa Zaire , [[Mulamba Ndaye]] alifunga bao zote nne za mechi hizo mbili: pia alikuwa alishikilia usukani kwa kuwa na mabao tisa katika msimu huo na kuweka rekodi ya mechi ya kibnafsi hadi wa leo. Miezi mitatu awali, Zaire ilikuwa taifa la kwanza la Afrika weusi kufuzu katika [[FIFA World Cup]]. Moroko iliweza kuchukua ushindi kwa mara yao ya kwanza katika ANC mwaka wa 1976 nchini Ethiopia na Ghana ilichukua ushindi mara ya tatu mwaka wa 1978,Katika mawka wa 1980 shindano hili lilifanyika Nigeria ambapo timu ya taifa ya Nigeria ililaza Algeria na kunyakuwa ushindi mara ya kwanza
 
=== 1980: Kutawala kwa Cameroon na Nigeria ===
20,706

edits