Embakasi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
No edit summary
CGN2010 (majadiliano | michango)
No edit summary
Mstari 1:
'''Embakasi''' ni mtaa wa [[Nairobi]], mji mkuu wa [[Kenya]]. Uko mashariki mwa katikati ya jiji. Ni mtaa wa makazi na wengi wa raia wanaoishi humo ni wa mapato ya daraja la pili la wastani. [[Uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta]], uwanja wa ndege mkuu Nairobi uko Embakasi na ulijulikana kama ''Embakasi Airport'' wakati ulipofunguliwa mwaka wa 1958.
 
 
[[Uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta]], uwanja wa ndege mkuu Nairobi uko Embakasi na ulijulikana kama ''Embakasi Airport'' wakati ulipofunguliwa mwaka wa 1958.
 
 
Katika masaa ya asubuhi ya Januari 27, 2008, Mbunge wa [[Eneo Bunge la Embakasi]], Mugabe Were alipigwa risasi na washambulizi wawili na kufa. Kulingana na taarifa za habari, Mugabe alikuwa tu amewasili katika boma yake wakati aliposhambuliwa akiwa bado katika gari lake, kabla ya lango kufunguliwa. Mugabe alichaguliwa kuwa mjumbe wa [[Orange Democratic Movement]], chama cha upinzani nchini Kenya. Uvumi kuhusu uwezekano wa mauaji haya kuwa ya kisiasa bado unazingira kifo hiki. Kama ni hivyo, hii ingekuwa hatua mpya katika mgogoro unaoendelea kuhusu uchaguzi wa rais wa Desemba 27, 2007<ref> http://www.reuters.com/article/worldNews/idUSWAL22103220080129</ref>. <ref> http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/7214558.stm</ref>
 
 
 
== Tarafa ya Embakasi ==
Line 20 ⟶ 14:
*Ruai
*Umoja
 
 
 
== Usafiri ==
 
 
Embakasi ina huduma ya [[Inland Container Depot]].
Line 33 ⟶ 24:
 
* [[Eneo Bunge la Embakasi]] eneo bunge la uchaguzi Nairobi