Kolo Toure : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
CGN2010 (majadiliano | michango)
No edit summary
Mstari 21:
| goals2 = 1
| nationalyears1 = 2000–
| nationalteam1 = [[Timu ya taifa ya soka ya Côte d'Ivoire national football team|Côte d'Ivoire]]
| nationalcaps1 = 70
| nationalgoals1 = 2
Mstari 30:
[[Picha:Toure With a Young Fan.jpg|thumb|Toure na shabiki]]
'''Kolo Habib Toure''' (alizaliwa mnamo Machi 19, 1981) ni mchezaji kandanda ambaye kwa sasa anaichezea, na ni nahodha wa Manchester City,ambayo ni klabu katika ligi kuu ya Uingereza na huichezea timu ya taifa ya Ivory Coast. Touré ni mchezaji wa kati wa safu ya ulinzi, yaani difenda, na anajulikana kwa kasi yake, nguvu yake na uanaspoti wake. Yeye ni kaka mkubwa wa [[Yaya Toure]], mchezaji wa kuingo cha kati katika klabu ya [[Barcelona]] na [[Ibrahim Touré]] wa klabu ya [[Al-Ittihad]].
 
 
 
== Wasifu wa Klabu ==
Line 37 ⟶ 35:
=== Arsenal ===
Alizaliwa katika sehemu ya Bouaké, na baada ya jaribio wa muda mfupi, Toure alijiunga na Arsenal mnamo Februari 2002 kutoka ASEC Mimosas kwa paundi £ 150,000. Alipata kibali cha kazi cha Uingereza kutokana na status yake ya kuwa mchezaji wa kimataifa aliyekamilika. Awali alichezeshwa kama mchezaji wa kiungo cha kati wa kushambulia au kama mshambuliaji.
 
 
 
==== Msimu wa 2002-03 ====
Toure hakuichezea timu ya kwanza ya Arsenal hadi msimu uliofuata, dhidi ya [[Liverpool ]]katika FA Community Shield mwezi Agosti mwaka wa 2002. Awali alijulikana kama mchezaji anayeweza kucheza katika sehemu yoyote ya uwanja. Alianza wasifu wake wa Arsenal kama mchezaji wa kiungo cha kati na vilevile kama mchezaji wa safu ya ulinzi wa kulia. Alifunga bao lake la kwanza la Arsenal katika uwanja wa Stamford Bridge dhidi ya [[Chelsea]], mechi iliyokamilika kwa sare ya 1-1. Arsenal ilishindwa kuhifadhi taji lao la Premiership msimu huo, hata hivyo Touré aliweka hatua kubwa katika wasifu wake kwa kushinda kombe la FA Cup.
 
 
 
==== Msimu wa 2003-04 ====