Fueli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nyongeza dogo
No edit summary
Mstari 2:
'''Fueli''' ni [[dutu]] inayowaka na kutoa [[nishati]] kwa njia inayoweza kutumiwa na binadamu. Mara nyingi fueli ni kitu kinachochomwa.
 
LakiniKwa lugha ya kawaida si kila mara kikiwaka ya kwamba kinastahili kuitwa vile: [[ubao]] ukitumiwa jikoni kama [[kuni]] ni fueli; ubao ukiwaka hovyo wakati [[msitu]] inaharibika na moto si fueli.
 
Lakini kwa matumizi ya kitaalamu kile kinachowaka ni [[kampaundi]] za [[kaboni]] na [[hidrojeni]] ndani ya ubao na hii ni fueli yenyewe kwa maana ya kikemia.
 
==Historia==