Moto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: simple:Fire
nyongeza - makala 1000
Mstari 1:
[[File:Large bonfire.jpg|thumb|Moto kubwa]]
[[Picha:Tetrahedron ya moto.png|thumb|[[Tetrahedron]] ya moto inaonyesha masharti manne yanayohitajika kwa moto kuwaka]]
[[File:Streichholz.jpg|thumb|150px|Kiberiti kinawaka]]
 
Mstari 28:
* kuingiza kemikali kama [[halon]] motoni inayochelewesha mmenyuko ndani ya moto kiasi cha kusimamisha mmenyuko mfululizo.
 
==Moto na utamaduni==
 
===Matumizi asilia ya moto===
Wataalamu wanaamini ya kwamba watu wa kale sana waliona faida ya kutumia moto uliotokea kiasili kutokana na [[radi]] n.k.. Walipokuta wanyama waliokufa katika moto ya aina hii waliona ya kwamba [[nyama]] iliyochomwa na moto ni lishe bora kuliko nyama bichi. Walitambua pia ya kwamba mimea au sehemu za mimea zilikuwa chakula bora baada ya kukaa motoni kwa muda fulani.
 
Kwa hiyo inaaminiwa hao watu wa kwanza walijifunze kubeba moto asilia na kuitunza kwenye makazi yao. Baadaye watu walijifunza kuwasha moto. Kuwa na moto karibu na makazi au mahali pa kulala kulikuwa namna ya ulinzi dhidi ya wanyama wakali wanaoogopa moto na hawana akili ya kubainisha matumizi yake. Moto ilisaidia pia wakati wa kuvinda.
 
[[Category:Kemia| ]]