Babeldaob : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|Kisiwa cha '''Babeldaob / Babelthuap''' kwenye kaskazini ya Palau '''Babeldaob''' (pia '''Babelthuap''') ni kisiwa kikubwa cha [[nchi ya visiwani]...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 23:10, 5 Aprili 2007

Babeldaob (pia Babelthuap) ni kisiwa kikubwa cha nchi ya visiwani ya Palau. Eneo lake ni 331 km² au asilimia 70 ya eneo lote la taifa.

Kisiwa cha Babeldaob / Babelthuap kwenye kaskazini ya Palau

Kisiwani kuna mji mkuu wa Melekeok na tisa kati ya mikoa 16 ya Palau.

Maadam visiwa vingine vya Palau ni tambarare kabisa Babeldoab kuna mlima Ngerchelchuus mwenye kimo cha mita 242.

Kwenye mkoa wa Airai upande wa kusini upo uwanja wa ndege wa kimataifa.