Graca Machel : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: da:Graca Marcel |
Xqbot (majadiliano | michango) d roboti Badiliko: da:Graça Machel; cosmetic changes |
||
Mstari 1:
[[
'''Graça Simbine Machel''' alikuwa mke wa marehemu Rais wa [[Msumbiji]] [[Samora Machel]] na tangu 1998 mke wa [[Nelson Mandela]].
Mstari 5:
Alizaliwa tarehe [[17 Oktoba]], [[1946]] nchini [[Msumbiji]]. Akiwa ni mtoto wa mwisho kati ya watoto sita wa mzee Simbine na bibi Nelly. Baba yake alifariki majuma matatu baada ya Graça kuzaliwa.
Graça alianza kujihusisha na siasa baada ya kwenda masomoni [[Lisbon]], [[Ureno]]. Akiwa Lisbon alikutana na watu wengi wenye fikra za kimapinduzi waliokuwa wakijihusisha na harakati za ukombozi wa Msumbiji kupitia chama cha [[FRELIMO]]. Serikali ya Msumbiji ilipopata taarifa za kujiunga kwakw kwa siri na FRELIMO ilijiandaa kumtia jela mara tu atakaporudi nchini Msumbiji. Graça alipopata habari hizo alikimbilia nchini [[Uswisi]]. Mwaka 1973 akiwa bado [[Ulaya]] aliamua kujihusisha wazi wazi na harakati za ukombozi za FRELIMO.
Akiwa Tanzania alijifunza mafunzo ya kijeshi ya kujilinda na ni katika kipindi hiki ndipo alipoweza kukutana na [[Samora Machel]]ambaye alikuja kuwa mume wake na pia rais wa Msumbiji. Walifunga ndoa mwaka 1975 baada ya Msumbiji kupata uhuru wake toka kwa Wareno. Waliishi kama mume na mke hadi pale Samora Machel alipofariki kutokana na ajali ya ndege inayosadikiwa kuwa ilitunguliwa na [[makaburu]] wa [[Afika Kusini]] mwaka 1989. Kwa miaka mitano mfululizo tangu Samora Macheli afariki, Graça alivaa nguo nyeusi peke yake. Na ilipofika mwaka 1989 alistaafu wadhifa wake wa uwaziri na kujishughulisha na shughuli za maendeleo ya jamii hasa hasa watoto.
Mstari 11:
Mwaka 1998 Graça alifunga pingu za maisha kwa mara ya pili na rais wa kwanza wa Afrika Kusini huru, [[Nelson Mandela]].
[[
[[ca:Graça Machel]]
[[da:
[[de:Graça Machel]]
[[en:Graça Machel]]
|