Chama cha Wananchi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: nl:Civic United Front
CGN2010 (majadiliano | michango)
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:CUF_partylogo.png|thumb|300px|Nembo ya Civic United Front]]
'''Chama cha Wananchi''' au '''Civic United Front''' ('''CUF''') ni chama cha kisiasa nchini [[Tanzania]]. CUF iliwasilishwa rasmi Januari 1993.
 
CUF ilianzishwa mwaka 1992 kutokana na maungano ya shirika mbili. Hizi zilikuwa
# '''KAMAHURU''' kikundi cha kupambania demokrasia kwenye visiwa vya [[Unguja]] na [[Pemba]]
# '''Civic Movement''' iliyokuwa kundi la kupigania haki za binadamu la Tanzania bara.
 
CUF iliwasilishwa rasmi Januari 1993.
 
Kama ilivyo katika vyama vingine vipya za Tanzania viongozi wengi waliwahi kuwa wanachama wa [[CCM]].