Tofauti kati ya marekesbisho "William Ruto"

1 byte added ,  miaka 10 iliyopita
 
 
Katika Januari mwaka wa 2006, Ruto alitangaza hadharani kwamba atawania kuwa rais katika uchaguzi mkuu ujao, uliopangwa kufanyika mwezi wa Desemba 2007. Taarifa yake alisstumiwa na baadhi ya wanachama wa KANU wake, pamoja na rais wa zamani [[Daniel arap Moi.]] Ruto alitaka uteuzi wa chama cha [[Orange Democratic Movement]] (ODM) kama mgombea wa urais wake, lakini katika kura cha chama mnamo tarehe moja Septemba 2007, yeye alikuwa wa tatu kwa kura 368, nyuma ya mshindi, [[Raila Odinga]] (kwa kura 2,656) na [[Musalia Mudavadi]] (na 391). <ref> [http://www.eastandard.net/InsidePage.php?id=1143973896 "Ni Raila kwa Rais",] ''East African Standard,'' 1 Septemba 2007.</ref> Ruto aliuunga mkono Odinga baada ya kura. <ref>[20] ^ Maina Muiruri, "ODM 'Pentagon' yaahidi kuwaweka pamoja", The Standard (Kenya), Septemba 2, 2007.</ref> Yeye alijiuzulu kutoka wadhifa wake kama katibu mkuu wa KANU tarehe 6 Oktoba 2007. <ref> Daily Nation, 7 Oktoba 2007: [http://www.eastandard.net/archives/cl/hm_news/news.php?articleid=1143954753 Ruto abandons Kanu's top post]</ref>
 
 
20,706

edits