Jangwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: nds:Wööst
d roboti Nyongeza: tt:Чүл; cosmetic changes
Mstari 17:
Mara nyingi jangwa hutofautishwa kutokana na uso lake:
 
* '''Jangwa la [[mchanga]]''' — uso lake huonyesha hasa mchanga. Mchanga umetokea kutokana na [[mmomonyoko]] wa [[changarawe]] na [[kokoto]] kama mawe haya ni hasa ya [[shondo]]. Punje ndogo za mchanga husukumwa na upepo na kutokea kama [[tuta la mchanga|matuta makubwa ya mchanga]]. Jangwa la mchanga ni mahali pagumu mno kwa maisha ya kila aina. Mfano bora ni jangwa la [[Rub al-Khali]] katika [[Uarabuni Saudi]]. [[Sahara]] ina pia sehemu za jangwa la mchanga.
[[Picha:Moon desert in ladakh 001.jpg|thumb|350px|Jangwa baridi la mawe la [[Ladakh]] kwenye milima ya [[Himalaya]]]]
* '''Jangwa la [[changarawe]]''' — uso lake huonyesha hasa changarawe. Changarawe imetokea kutokana na mmomonyoko wa mawe au miamba - punje ndogo zaidi zimeshapulizwa mbali na upepo. Hii ni sababu ya majangwa mengi kuwa na maeneo ya mchanga na changarawe yanayobadilishana. Changarawe hupatikana pia pale ambako zamani [[barafuto]] zilisaga mawe na kuzisukuma mbele ya [[barafu]] zao pale zilizobaki. Ni ajabu kutafakari ya kwamba sehemu fulani ilikuwa ya barafuto tukisimama leo mahali penye joto kali lakini mabadiliko ya hali ya hewa yalileta baridi au joto kila sehemu ya dunia yetu katika mamilioni ya miaka iliyopita.
* '''Jangwa la [[mawe]]''' — uso lake huonyesha miamba na mawe makubwa. Maana yake hapo udongo wote mwenye rutba na mchanga vimeshapulizwa mbali na mwamba umebaki. Athira za joto na baridi zinaweza kupasua mwamba. Mmomonyoko wa upepo hutokea.
 
* '''Jangwa la [[chumvi]]''' — mara nyingi penye beseni yabisi za mashapo bila njia ambako maji ya mvua (au mto) yanaweza kutoka. Maji yote huvukiza na kuacha chumvi yake katika udongo. Kiasi cha chumvi kinaendelea kuongezeka polepole katika udongo wa beseni hizi.
 
== Maji ==
Mstari 47:
 
== Majangwa makubwa duniani ==
* Majangwa makubwa 10 ya dunia:
{| {{jedwalimaridadi}} width="350px"
|-----
Mstari 77:
|}
 
[[Jamii:Jangwa|*]]
[[Jamii:Jiografia]]
[[Jamii:Sura ya nchi]]
 
{{Link FA|hr}}
{{Link FA|pt}}
{{Link FA|sl}}
 
[[Jamii:Jangwa|*]]
[[Jamii:Jiografia]]
[[Jamii:Sura ya nchi]]
 
[[af:Woestyn]]
Line 186 ⟶ 185:
[[tl:Ilang]]
[[tr:Çöl]]
[[tt:Чүл]]
[[uk:Пустеля]]
[[ur:صحرا]]