Sumeri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: hy:Շումեր
kiungo
Mstari 2:
'''Sumeri''' ilikuwa kati ya tamaduni za kwanza za juu katika [[Asia ya Magharibi]] na hasa [[Mesopotamia]] ([[Iraq]] ya leo). Labda ilikuwa utamaduni wa kwanza wa kujenga miji.
 
Sumeri ilianzishwa na kuendelea kwenye nchi yenye rutba kati ya mito [[Frati]] na [[Hidekeli]] tangu mwaka 3,500 [[KK]]. Elimu ya akiolojia iliweza kuthebitisha ya kwamba Wasumeri walijenga miji na kuendeleza [[maandishi]].

Maandishi yao yamehifadhiwa kwa sababu waliandika mengi kwa kuchorakutumia maneno[[mwandiko wa kikabari]] kwenye vipandevibao vya udongo mbichi wa ufinyanzi na kuvichoma. Imetambuliwa pia ya kwamba waliweka misingi muhimu kwa [[kalenda]] za leo kwa kugawa [[siku]] katika masaa 24 na [[saa]] katika [[dakika]] 60.
 
Wasumeri waliishi katika [[dola-mji|dola-miji]] iliyotawaliwa na [[mfalme|wafalme]] au ma[[kuhani]].