Utenzi wa Gilgamesh : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 17:
Enkidu anaishi porini pamoja wanyama witu anajisikia ni mmoja wao ana nywele nyingi kama mnyama.
Mwindaji mmoja anatambua ya kwamba wanyama hawingii tena katika mitego yake kwa sababu wanalindwa na Enkidu. Anaenda Uruk na kulalamika mbele ya mfalme. Gilgamesh anamwambia kurudi pamoja na kahaba Shamhat; huyu Shamhat atamvuta kwa njia ya ngono kutoka upande wa kinyama kuja upande wa kibinadamu. Na kweli Enkidu anavutwa na Shamhat anafanya mapenzi naye kwa wiki moja. Katika muda huu wanyama pori wa Enkidu wanaondoka na kupotea. Enkidu anajikuta bila wanyama anaamua kumfuata Shamhat kwenda Uruk.
[[File:Enkidu leon.jpg|thumb|200px|Enkidu apigana na simba; picha kwenye mhuri wa Kimesopotamia]]
 
Njiani wanakutana na wafugaji na katika kambi lao Enkidu anaonja [[mkate]] na [[bia]] mara ya kwanza. Kinyozi anaondoa nyewele za mwilini na kwa njia hii Enkidu anakuwa mwanadamu kamili.
 
===Gilgamesh na Enkidu wanachkuawanachukua miti ya mingati===
Mjini Uruk Enkidu anakutana na Gilgamesh na wanaanza kupigana akiingia tena katika chumba cha bibi arusi. Nguvu zao zinalingana hakuna mshindi. Baada ya kuchoka wanapatana na kuwa marafiki. Wanapanga kwneda pamoja na kumwua Humbaba mlinzi wa msitu wa [[mwangati|mingati]] ulio mali ya Ishtar. Mamake Gilgamesh anayeitwa Ninsun anaona hatari anamwomba [[mungu wa jua]] Shamash asaidie. Vilevile anampokea Enkidu kama mwanake hivyo huyu na Gilgamesh wamekuwa ndugu na wote wanapewa alama yake shingoni.