Shirikisho la Mikronesia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: {{Infobox Country |native_name = Federated States of Micronesia |common_name = Mikronesia |image_flag = Flag of Micronesia.svg |image_coat ...
 
No edit summary
Mstari 50:
[[Image:Pohnpei Kolonia Church.jpg|thumb|250px|left|Kanisa katoliki kisiwani Pohnpei]]
[[Image:FSCNationalCapitol.jpg|thumb|250px|left|Bunge la Kitaifa mjini Palikir]]
 
[[Image:CIA-FSM.jpg|thumb|350px|left]]
'''Shirikisho la Mikronesia''' ni [[nchi ya visiwani]] katika [[Pasifiki]] kaskazini ya [[Papua Guinea Mpya]]. Ni nchi huru inayoshirikiana na [[Marekani]]. Nchi ilikuwa eneo lindwa chini ya Marekani kwa niaba ya Umoja wa Mataifa ikapata uhuru wake 1986.
 
Mstari 57:
 
Mji mkubwa wa nchi ni Weno (wakazi 17,624) kisiwani Chuuk lakini mji mkuu ni [[Palikir]] kwenye kisiwa cha Pohnpei.
 
== Majimbo ya shirikisho ==
Kuna majimbo manne kama yafuatayo:
{| class="wikitable"
!Bendera
!Jimbo
!Mji Mkuu
!Eneo la nchi kavu<ref>[http://www.fsmgov.org/info/geog.html FSM government website - Geography]</ref>
!Wakazi<ref>[http://www.fsmgov.org/info/people.html FSM government website - Population]</ref>
!Msongamano
|---
|[[Image:Flag of Chuuk.png|50px|Flag of Chuuk]] || '''[[Chuuk]]''' || [[Weno]] || 127 km<sup>2</sup> || 53,595 || 1,088 per km<sup>2</sup>
|---
|[[Image:Flag of Kosrae.png|50px|Flag of Kosrae]] || '''[[Kosrae]]''' || [[Tofol]] || 110 km<sup>2</sup> || 7,686 || 70 per km<sup>2</sup>
|---
|[[Image:Flag of Pohnpei.png|50px|Flag of Pohnpei]] || '''[[Pohnpei]]''' || [[Kolonia]] || 346 km<sup>2</sup> || 34,486 || 100 per km<sup>2</sup>
|---
|[[Image:Yap flag.svg|50px|Flag of Yap]] || '''[[Yap]]''' || [[Colonia, Yap|Colonia]] || 118 km<sup>2</sup> || 11,241 || 95 per km<sup>2</sup>
|}
 
 
==Historia==
[[Image:CIA-FSM.jpg|thumb|350px|left]]
Visiwa vimekaliwa na watu tangu miaka 4,000 hasa kutoka Rasi ya Malay na visiwa vya Indonesia. Wengine wametokea kutoka visiwa vya Polynesia.