Tofauti kati ya marekesbisho "Benn Haidari"

No change in size ,  miaka 11 iliyopita
no edit summary
'''Benn Haidari''' ni mpishi na mwanasiasa, aliazaliwa tarehe [[6 Machi]], [[1949]] katika kijiji cha Mbeni huko [[Ngazija]] visiwa vya [[Komoro]]. Mjomba wake Maalim Said Ilyas akamchukua [[Zanzibar]] mwaka wa 1953. Akamaliza masomo yake Fidel Castro Secondary School na kuhamia [[Ufini]] 1968.
 
Bw. Haidari alisomea mambo ya upishi kwenye [[visiwa vya Aland]] huko Ufini na akawa katika mpishi mkubwa na wa mwanzo wa kufanya filamu za mapishi katika Televisheni za [[SkandanaviaSkandinavia]] mnamo mwaka 1988.
 
Filamu yake ya kwanza ni ''Pengine nitakuwa mpishi wa pizza'' na baadaye akafanya filamu 12 za mapishi ya dunia pamoja na mapishi ya kizanzibari, k.m. ''Samaki wa kupaka'' na ''Mkate wa kusukuma''.
20,706

edits