Boga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
No edit summary
CGN2010 (majadiliano | michango)
No edit summary
Mstari 5:
 
==Utangulizi==
Bogani [[tunda]] ni tunda lenye umbo la kibuyu – la jenasi ‘cucurbitaceae’. Ijna lake la jumla linaweza kumaanisha moja kati ya spishi cucurbita pepo’ cucurbita mixta’ cucurbita maxima na cucurbita mooschata’. Maboga huwa na rangi ya njano au rangi ya machungwa na huwa na mikunjo kuanzia kwenye shina juu mpaka chini. Maboga yana kombe / ganda nene huku mbegu na nyama ya tunda ikiwa ndani.
 
==Maelezo==
Mstari 47:
Mafuta ya mbegu za maboga huwa mekundu na mazito yanapotumika kupikia chakula kwa kawaida huchanganywa na mafuta mengine kwa sababu ya nguvu yake,yanatumika sana kupikia masahariki na kati mwa ulaya. Mafuta haya huaminika huwasaidia watu wenye matatizo ya tezi za uzazi, yaani "prostate". Mafuta haya pia huwa na kemikali zilizo saidia kuimarisha mishipa ya damu na mishipa ya fahamu.(neva)
Matumizi mengine. Mara nyingi hushauriwa na wataalamu wa mifupa, kuwa maboga ni chakula kizuri kwa mbwa nap aka wanaopata matatizo ya umengenyaji wa chakula kiasi chake kingi cha makapi husaidia kuongeza na kuchochea mmengenyo wa chakula.
 
[[Jamii:Matunda]]
 
 
[[ar:قرع]]