Warshawa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: mi:Pakangakite
d roboti Badiliko: bo:ཝར་སོ།; cosmetic changes
Mstari 1:
'''Warshawa''' ([[Kipoland]]: ''Warszawa'') ni [[mji mkuu]] wa [[Poland]] pia mji mkubwa mwenye wakazi milioni mbili.
[[ImagePicha:Warszawa-pano.jpg|thumb|400px|Kitovu cha kihistoria cha Warshawa]]
 
== Jiografia ==
Warshawa iko katikati ya nchi kando la [[mto Vistula]] (Kipoland:(polnisch Wisła) takriban 350 km kutoka [[Bahari Baltiki]].
 
== Historia ==
Warshawa imekuwa mji tangu karne ya 15 ikawa mji mkuu wa Poland mwaka [[1596]].
Iliharibiwa mara nyingi katika historia yake hasa wakati wa [[vita kuu ya pili ya dunia]]. Wapoland walijaribu kuasi dhidi ya Wajerumani waloshika mji kati ya 1939 na 1944; pamoja na vofo vingi asilimia 90% za nyumba zote ziliharibiwa.
Mstari 11:
Baada ya vita mji ulijengwa upya mara nyingi kwa kurudisha nyumba zinazofanana na nyumba za kale.
 
== Utamaduni ==
Kuna vyuo 66 pamoja na Chuo Kikuu cha Warshawa, vyuo vikuu vingine, nyumba za maigizo, opera na makumbusho mbalimbali.
 
== Uchumi ==
Warshawa ni mji wa viwanda vingi vya kutengenezea chuma, mashine, motokaa na mengi mengine.
 
 
== Picha za Warshawa ==
<gallery>
Image:Palac Nauki.jpg|Jumba la utamaduni na sayansi
Mstari 35:
{{commons|Warsaw}}
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.e-warsaw.pl/index.php Tovuti rasmi]
* [http://www.warsawtour.pl/index.php Tovuti ya utalii wa Warshawa]
* [http://um.warszawa.pl/mapa/ Ramani]
 
{{mbegu-jio-Ulaya}}
 
[[CategoryJamii:Miji ya Poland]]
[[CategoryJamii:Miji Mikuu Ulaya]]
 
[[af:Warskou]]
Mstari 61:
[[bg:Варшава]]
[[bn:ওয়ার্সা]]
[[bo:ཧྭ་ཧྲཝར་སོ།]]
[[br:Varsovia]]
[[bs:Varšava]]