Lugha za Kibantu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: ast:Llingües bantúes
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Lugha za Afrika ramani.PNG|right|350px|thumb|Ramani hii inaonyesha enezi la '''lugha za Kibantu''' (rangi ya machungwa) kulingana na lugha nyingine za Niger-Congo (rangi ya manjano).]]
 
'''Lugha za Kibantu''' ni kundi la lugha ambalo ni tawi la [[lugha za Niger-CongoKongo]].
 
Lugha za Kibantu huzungumzwa hasa katika nchi za [[Kamerun]], [[Nigeria]], [[Gabon]], [[Guinea ya Ikweta]], [[Kongo]] zote mbili, [[Rwanda]], [[Burundi]], [[Uganda]], [[Kenya]], [[Tanzania]], [[Angola]], [[Zambia]], [[Malawi]], [[Msumbiji]], [[Zimbabwe]], [[Namibia]], [[Botswana]], [[Lesotho]], [[Swaziland]] na [[Afrika ya Kusini]].