Kerala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: pnb:کیرالہ
clean up jimbo za --> jimbo ya using AWB
Mstari 1:
[[Picha:India Kerala locator map.svg|thumb|250px|Mahali pa Kerala katika [[Uhindi]]]]
[[Picha:Kerala locator map.svg|thumb|right|250px|Ramani ya Kerala]]
'''Kerala''' (Malayalam: കേരളം, Kēraḷam) ni jimbo zaya [[Uhindi]] lililopo kwenye kusini magharibi ya nchi hii. [[Mji mkuu]] wake ni [[Thiruvananthapuram]].
 
Kerala ina eneo la 38,863 km² na wakazi 33,268,000 (2008). Msongamano wa watu ni 856 kwa km². Jimbo hili lilipata mipaka yake mwaka 1956 kufuatana na maeneo yanayokaliwa na wasemaji wa Kimalayalam. Jina la jombo latokana na neno kwa minazi "kera".