Nile : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: yo:Nílò
d roboti Nyongeza: tk:Nil; cosmetic changes
Mstari 39:
Beseni ya Nile hukusanya maji ya eneo linalojumlisha 10% za eneo la Afrika yote au 3,349,000 km². Takriban watu milioni 250 hukalia beseni hiyo.
 
== Jina ==
"Nile" au "Naili" ni umbo la [[Kiingereza]] la jina la mto kutokana na jina lililotumiwa na [[Wagiriki wa Kale]] "Neilos" (Νεῖλος). Haijulikani Wagrikiki walipata jina hili kwa njia gani lakini lilikuwa kawaida nje ya Misri. [[Wamisri wa Kale]] waliita mto huu kwa jina ''Ḥ'pī'' au ''iteru'' linalomaanisha "mto mkubwa". [[Wakopti]] walikuwa na jina la ''piaro'' lakini tangu utawala wa Kiroma jina la Kigiriki ilizidi kutumika na Waarabu waliendelea na jina la Kigiriki pia hivyo leo hii wananchi wanasema "an-nil".
 
Mstari 181:
[[tg:Дарёи Нил]]
[[th:แม่น้ำไนล์]]
[[tk:Nil]]
[[tl:Ilog Nilo]]
[[tr:Nil]]