Intaneti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: bh:इंटरनेट
d roboti Nyongeza: ext:Internet; cosmetic changes
Mstari 32:
Ingawa vifaa msingi na miongozo vinavyofanya uwezekanaji wa intanet vimekuwepo kwa karibu miongo miwili, mtandao huo haukupata kuona nyuso za umma mpaka mwongo wa 1990. Tarehe 6 Agosti 1991, [[CERN]], shirika ya Ulaya ya utafiti wa chembe, ulieleza umma kuhusu mradi mpya wa [[matandao wa dunia nzima]]. Mtandao ulizuliwa na mwanasayansi wa[[Kiingereza Tim Berners-Lee]] mwaka wa 1989. [[Kivinjari cha mtandao]] kilichokuwa cha kwanza na chenye umaarufu sana kilikuwa [[ViolaWWW]], iliyofuata mtindo wa [[HyperCard]] na kujengwa kwa kutumia [[mfumo wa X Window]]. Hatimaye ilichujwa na umaarufu wa [[tovuti ya Mosaic]]. Mwaka wa 1993, [[Kikao kikuu cha zana za kompyuta zenye nguvu]] katika [[Chuo Kikuu cha Illinois]] ilitoa aina ya kwanza 1.0 ya Mosaic, na mwisho wa mwaka wa 1994 hamu ya umma iliongezeka Intanet ambayo hapo awali ilikua ya taaluma na ufundi. Kufikia mwaka wa 1996 matumizi ya neno ''Intanet'' ilikuwa kawaida, na kwa hivyo, hata matumizi yake kama [[neno yenye maana sawa]] na mtandao wa ulimwengu nzima.
 
Wakati huo huo, muongo huo ulipoendelea, Intanet ilifanikiwa kushughulikia mitandao nyingi binafsi wa awali (ingawa baadhi ya mitandao, kama [[FidoNet]], vimebakia tofauti). Katika miaka ya 1990, ilikuwa inakadiriwa kwamba Intanet ilikua kwa asilimia 100 kila mwaka, na kipindi kifupi cha mwaka wa 1996 na 1997 ambapo ukuaji wake ulilipuka. <ref>{{cite paper | url=http://www.dtc.umn.edu/~odlyzko/doc/internet.size.pdf |format=PDF| title=The size and growth rate of the Internet | accessdate=2007-05-21 | author=Coffman, K. G; [[Odlyzko]], A. M. | publisher=AT&T Labs | date=1998-10-02}}</ref> Ukuaji huu ulitokana na ukosefu wa utawala kuu, ambao unaruhusu ukuaji wa kikaboni wa mtandao, na pia ukosaji ubinafsi na huru katika itifaki za Intanet, ambao unahamasisha ubadilishaji wauzaji na kuzuia kampuni yoyote kuwa na udhibiti mkubwa wa mtandao. <ref>{{cite book | last = Comer | first = Douglas | title = The Internet book | publisher = Prentice Hall | page = 64 | isbn = 0132335530 | year = 2006}}</ref> Makadirio ya idadi ya [[watumiaji wa internet]] ni bilioni 1.67 kufikai Juni 30, 2009. <ref Namename="stats1"> {{cite web |url=http://www.internetworldstats.com/stats.htm |title=World Internet Users and Population Stats |work=Internet World Stats |publisher=Miniwatts Marketing Group |date=2009-06-30 |accessdate=2009-11-06}} </ref>
 
== Teknolojia ==
Mstari 209:
[[et:Internet]]
[[eu:Internet]]
[[ext:Internet]]
[[fa:اینترنت]]
[[fi:Internet]]