Tofauti kati ya marekesbisho "Intaneti"

27 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
d (roboti Nyongeza: ext:Internet; cosmetic changes)
== Istilahi ==
Maneno ''intanet'' na ''matandao wa ulimwengu mzima'' mara nyingi hutumika katika hotuba za kila siku bila tofauti kubwa. Hata hivyo, Intanet na [[mtandao wa ulimwengu mzima]] si kitu kimoja na wala hazina maana sawa. Internet ni mfumo wa kimataifa wa mawasiliano ya data. Ni miundombinu ya vifaa na programu ambayo huwezesha mawasiliano kati ya [[kompyuta]]. Kwa kulinganisha, Mtandao ni mojawapo ya huduma inayowasilishwa na Intanet. Ni mkusanyiko wa nyaraka zilizounganishwa na [[rasilimali]] zingine, zilizoshikanishwa na [[viungo]] na [[URL]]. <ref>{{cite web |url= http://www.w3.org/TR/html401/struct/links.html#h-12.1|title= Links |accessdate=2008-08-13 |work=HTML 4.01 Specification |publisher=World Wide Web Consortium |date=HTML 4.01 Specification | quote = [T]he link (or hyperlink, or Web link) [is] the basic hypertext construct. A link is a connection from one Web resource to another. Although a simple concept, the link has been one of the primary forces driving the success of the Web. }}</ref> Neno'' intanet,'' wakati ''linapotumika kumaanisha'' intanet, kiasili limekuwa likitumiwa kama [[nauni sahihi]] na kuanza na [[herufi kubwa]]. Huu ni mwenendo kwa kuzingatia neno hili kama lenye matumizi ya aina nyingi au nauni ya kawaida na kwa hivyo liandikwe kama "intanet", bila kukianza na herufi kubwa mkuu.
[http://www.yiqiweb.com ,]
 
== Historia ==
Anonymous user