Tofauti kati ya marekesbisho "Kiserbokroatia"

12 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
no edit summary
'''Kiserbokroatia''' iliyoitwa pia '''Kikroatoserbia''' (halafu pia "Kiserbia au Kikroatia" na "Kikroatia au Kiserbia" - srpskohrvatski au cрпскохрватски au hrvatskosrpski au hrvatski ili srpski au srpski ili hrvatski) ilikuwa lugha rasmi ya [[Yugoslavia]] pamoja na [[Kislovenia]] na [[Kimasedonia]].
 
Wakati wa Ufalme na baadaye Jamhuri ya Yugoslavia '''[[Kiserbia]] na [[Kikroatia]]''' zilitazamia kama lahaja za lugha moja iliyoendelea kwa karne nyingi katika eneo lililotengwa kisiasa. Taifa jipya ya Yugoslavia lilitaka kuunganisha lahaja za karibu za Wakroatia, Waserbia na Wabosnia. Hii ilikuwa mpango wa kuunda lugha sanifu ya kisasa na kujenga umoja wa kitaifa.
 
Kufuatana na tamaduni mbalimbali katika Yugoslavia iliandikwa kwa [[alfabeti ya Kikirili]] upanda wa Mashariki katika eneo la [[Serbia]] na kwa [[alfabeti ya Kilatini]] upande wa Magharibi katika eneo la [[Kroatia]].
{| class="wikitable"
! Français
! Kikroatia
! Croate
! Kibosnia
! Bosniaqe
! Kiserbia
! Serbe
|-
! Comme les gaz d'échappement et la pollution atmosphérique dans la Jérusalem, il serait nécessaire de prendre des mesures pour assurer la sécurité!
Anonymous user