Bujumbura : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 20:
'''Bujumbura''', ni [[Mji Mkuu]] wa [[Burundi]] unaokadiriwa kuwa na idadi ya wakazi 300,000. Mji huu upo kaskazini mashariki mwa [[Ziwa Tanganyika]], na ni mji mkubwa zaidi Burundi, kitovu cha mawasiliano na uchumi nchini humo. Bujumbura ni mji pekee Burundi ambao una bandari ya kupakia mali na bidhaa mbalimbali za kuuza nje. Bidhaa kama [[kahawa]], [[pamba]], ngozi, na madini ya [[tini|stani]]. Kwa kijiographia Bujumbura iko 3°22'34" Kusini, 29°21'36" Mashariki (-3.3761111, 29.36) [http://earth-info.nga.mil/gns/html/cntry_files.html].
Bujumbura ilipanuka toka ilipokuwa kijiji kidogo kilichokuwa [[kambi ya Jeshi]] ya [[Wajerumani]]. Eneo hii iliitwa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] mwaka wa [[1889]]. Lakini, baada ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]], Bujumbura ilichukuliwa na [[Wabelgiji|Ubeljiji]] ambapo [[
Kati ya mji huu kuna majengo ni yale ya [[kikoloni]] na pia kuna [[soko]], [[uwanja wa taifa]], [[mskiti]] mkubwa na [[Kanisa|kathidro]]. Pia kuna [[Jumba la Makumbusho]] ambalo linaitwa jumba la makumbusho ya maisha na jumba la makumbusho ya Jiologia. Mambo mengine ya kuchangamsha ni kama [[Hifadhi ya Rusizi]], na [[Kiamba (Jiologia)|Kiamba]] hapo [[Mugere]], ambapo panasemekana kwamba [[David Livingstone]] na [[Henry Stanley]] walikutana. (Lakini watu wengi wasema walikutana [[Ujiji]]), [[Kigoma]], nchini [[Tanzania]] ambapo panasemekana ni [[mwanzo]] wa mto ulio unaosemekana kuwa hapo ndio mwanzo wa [[Mto Nile]].
|