Askofu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ga:Easpag
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Akofu Luwum.jpg|thumb|300px|right|Askofu Luwum wa Kanisa la Anglikana la Uganda aliyeuawa na Idi Amin]]
 
'''Askofu''' ni mtu mwenye cheo cha juu katika [[Kanisa]]. Kwa kawaida huliongoza katika eneo la jimbo [[dayosisi]] akisimamia [[ushirika|shirika]] au [[parokia]] nyingi.
 
Line 39 ⟶ 37:
 
==Askofu kati ya Waprotestanti==
[[Picha:Akofu Luwum.jpg|thumb|300px|right|Askofu Luwum wa Kanisa la Anglikana la Uganda aliyeuawa na Idi Amin]]
 
Baadhi ya [[madhehebu]] ya [[Uprotestanti]], hasa ya [[Anglikana]], yana kiongozi anayeitwa askofu, lakini mamlaka yake ni tofauti na ile ya maaskofu wa Kikatoliki na wa Kiorthodoksi, kutokana na mtazamo tofauti sana kuhusu Kanisa na [[sakramenti]]. Kwa kawaida viongozi wa Kiprotestanti hawakuwekewa mikono katika mlolongo wa kimitume.