Askofu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Nuremberg chronicles f 109v 1.png|thumb|200px|right|Picha ya Timotheo, mmoja kati ya maaskofu wa kwanza, ilivyochorwa katika ''Nuremberg chronicles'' f 109v(1493).]]
'''Askofu''' ni mtu mwenye cheo cha juu katika [[Kanisa]]. Kwa kawaida huliongoza katika eneo la jimbo [[dayosisi]] akisimamia [[ushirikausharika|shirika]] au [[parokia]] nyingi.
 
==Historia ya Cheo==
Line 26 ⟶ 27:
Maaskofu hukutana kwenye [[sinodi]] na kufanya maazimio kuhusu mambo ya kanisa lote.
 
Maaskofu wa nchi au eneo kubwa wako pamoja chini ya usimamizi wa [[PatriarkaPatriarki]] au wa [[Askofu Mkuumkuu]].
 
Katika [[Kanisa Katoliki]] [[askofu wa Roma]] ni mkuu wa Maaskofu wote na wa Kanisa lote duniani akitajwa kwa jina la [[Papa]].
Line 37 ⟶ 38:
 
==Askofu kati ya Waprotestanti==
[[Picha:Akofu Luwum.jpg|thumb|300px150px|right|Askofu Luwum wa Kanisa la Anglikana la Uganda aliyeuawa na Idi Amin.]]
 
Baadhi ya [[madhehebu]] ya [[Uprotestanti]], hasa ya [[Anglikana]], yana kiongozi anayeitwa askofu, lakini mamlaka yake ni tofauti na ile ya maaskofu wa Kikatoliki na wa Kiorthodoksi, kutokana na mtazamo tofauti sana kuhusu Kanisa na [[sakramenti]]. Kwa kawaida viongozi wa Kiprotestanti hawakuwekewa mikono katika mlolongo wa kimitume.