Jamhuri ya Watu wa Zanzibar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 35:
 
'''Jamhuri ya Watu wa [[Zanzibar]]''' ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa [[Tanzania]] inayojitawala katika mambo yake ya ndani. Eneo lake ni sawa na [[funguvisiwa]] ya '''Zanzibar''' iliyopo mbele ya mwambao wa [[Afrika ya Mashariki]] karibu na [[Tanganyika (nchi)|Tanganyika]] au Tanzania bara. Inajumuisha visiwa vikubwa vya [[Unguja]] na [[Kisiwa cha Pemba|Pemba]] pamoja na visiwa vidogovidogo.
 
== Siasa ==
 
Kwa jumla mikoa mitano ya Tanzania imo ndani ya Zanzibar ikiwa mitatu iko Unguja na miwili Pemba. Hadi [[mapinduzi ya Zanzibar]] ya mwaka 1964 sehemu hizi zilijulikana kama [[Usultani wa Zanzibar]].