Yaunde : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: la:Urbs Yaundensis
d roboti Badiliko: la:Yaunde; cosmetic changes
Mstari 13:
 
}}
[[ImagePicha:Kamerun-ramani ya kisiasa.png|300px|right|thumb|Mahali pa Yaoundé katika Kamerun]]
[[ImagePicha:Centre_Province_Yaoundé_002.JPG|300px|thumb|Yaoundé]]
'''Yaoundé''' ni [[mji mkuu]] na mji mkubwa wa pili nchini [[Kamerun]] baada ya [[Douala]]. Ina wakazi milioni 1,3.
 
== Jiografia ==
Mji uko kwenye kimo cha 730 [[m]] juu ya [[UB]] katika vilima vya Kamerun ya magharibi takriban 160 km kutoka mwambao wa [[Atlantiki]].
Hali ya hewa ni ya kitropiki; halijoto ina wastani ya 23.3 C°. Mvua hunyesha Septemba / Oktoba na Aprili / Mei.
 
== Historia ==
Yaounde ilianzishwa mwaka 1888 [[BK]] na wanfanya biashara Wajerumani. Baada ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia na mgawanyo wa nchi ikawa sehemu ya Kamerun ya Kifaransa na mji mkuu wa koloni kuanzia mwaka 1922. Wakati wa uhuru mwaka 1961 ilikuwa mji kuu wa Kamerun yote pamoja na sehemu zilizokuwa chini ya Uingereza.
 
== Uchumi ==
Yaounde ni kitovu cha usafiri na mawasiliano ya nchi. Kuna viwanda vya tumbako, vyakula, vioo na ubao. Yaounde ni kitovu cha biashara kwa ajili ya kilimo cha kahawa, kakao, nguta na raba katika mazingira ya mji. Kuna pia migodi ya [[dhahabu]] na metali ya [[titani]].
 
== Wamezaliwa Yaounde ==
* Roger Milla (20 februari 1952) mcheza mpira wa miguu
* Franck Songo'o (14 mei 1987) mcheza mpira wa miguu
 
== Viungo vya nje ==
* [http://www.uninet.cm/ Chuo Kikuu cha Yaounde]
 
[[Jamii:Miji Mikuu Afrika]]
 
[[CategoryJamii:Miji Mikuuya AfrikaKamerun]]
[[CategoryJamii:Miji ya Kamerun]]
[[CategoryJamii:KamerunYaounde| ]]
[[Category:Yaounde| ]]
 
[[af:Yaoundé]]
Line 83 ⟶ 82:
[[kw:Yaoundé]]
[[ky:Яунде]]
[[la:Urbs YaundensisYaunde]]
[[lb:Yaoundé]]
[[lmo:Yaoundé]]