Kerala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
clean up jimbo za --> jimbo ya using AWB
d roboti Badiliko: sa:केरलम्; cosmetic changes
Mstari 5:
Kerala ina eneo la 38,863 km² na wakazi 33,268,000 (2008). Msongamano wa watu ni 856 kwa km². Jimbo hili lilipata mipaka yake mwaka 1956 kufuatana na maeneo yanayokaliwa na wasemaji wa Kimalayalam. Jina la jombo latokana na neno kwa minazi "kera".
 
Kerala ni jimbo lenye asilimia kubwa ya [[Wakristo]] kati ya majimbo yote ya Uhindi. Inaaminiwa ya kwamba asilimia kubwa ya Wakristo (20%) na [[Waislamu]] (24 %) imetokana na historia ndefu ya biashara na nchi za [[Mashariki ya Kati]] na pia Afrika ya Mashariki ya kwamba walikuwa wafanyabiashara walioleta imani zao hapa. hata hivyo kidogo zaidi ya nusu ya wakazi ni [[Wahindu]].
 
== Tazama pia ==
Mstari 73:
[[ro:Kerala]]
[[ru:Керала]]
[[sa:केरळम्केरलम्]]
[[sh:Kerala]]
[[simple:Kerala]]