Selsiasi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: scn:Gradu cintigradu
d roboti Nyongeza: bo:སེ་དྲོད།; cosmetic changes
Mstari 18:
'''Selsiasi''' ('''sentigredi''', '''Celsius''') ni kipimo cha [[halijoto]] kinachotumika zaidi duniani. Alama yake ni '''°C'''.
 
Kipimo hiki hutumia skeli ya vizio 100 kati ya 0 °C na 100 °C. 0 °C ni halijoto ya kuganda kwa maji kuwa barafu. 100 °C ni halijoto ya maji kuchemka, yote kwa shindikizo kawaida la hewa yaani takriban shindikizo la hewa linalopatikana kando la bahari.
 
1  °C sehemu ya mia ya tofauti kati ya 0 °C na 100 °C.
 
Kipimo hiki kilianzishwa na Msweden [[Anders Celsius]] (1701 - 1744). Yeye aliita halijoto ya kuchemka kwa maji kama 0 °C na halijoto ya kuganda kuwa 100 °C. Namna ya kuandika ilibadilishwa baadaye kinyume.
 
Selsiasi ni kipimo kinachotumika zaidi kimataifa katika maisha ya kawaida. Kisayansi vipimo vya [[Kelvini]] vimekuwa kawaida. Siku hizi ufafanuzi wa kisayansi ya Selsiasi ni ya kuwa kizio kimoja cha Selsiasi ni sehemu ya 1/273.16 ya tofauti kati ya [[sifuri halisi]] (=0 [[K]] au Kelvini sifuri) na [[kiwango utatu]] cha maji (maji kubadilika kutoka barafu kuwa kiowevu (majimaji).
Mstari 36:
[[be-x-old:Градус Цэльсія]]
[[bn:সেলসিয়াস]]
[[bo:སེ་དྲོད།]]
[[br:Derez Celsius]]
[[bs:Celzijus (jedinica)]]